Advertisements

Nililala chini ya bed kwakina dem kwa simiti hadi morning. PART ONE

Tulikuwa tumefunga Colle so kila mtu ni kujitupa makwao. Yengs akadai nimpeleke stage ya kwao so tulipitia hom kwetu nika drop bags kwanza..Kufika stage yengs hakutaka ma goodbyes bana, yaani mtoto wa mtu ni wale wakikupenda wanapenda hadi na maini. Akadai nifike kwao nijue huko.Ilikuwa 12:30 mraiya tukajitupa ndani ya nisso za kwao hadi town centre yao, tukaingia kibanda kukula chips na toothpick

After lunj tukashuka kwao kwa nduthi, hiyo ride ilikuwa mahanjam tupu. Mamake ni single mum na ni mwalimu so hakuwa area Yengs akadai tujitibu chai na mkate nikisorora family album ya kwao, hiyo family ilikuwa ya fine ghels tupu bana..Hao yao ilikuwa room tatu.. yaani sitting room, bedroom na jikoni, yengs alikuwa anadoz jikoni coz ilikuwa kubwa kiasi…

After chai tukaona tupeane mate juu nikama mwili zilikuwa zinadai haki yao, mjulubeng ilikuwa tayari inaimba national anthem ndanj ya boxer.Shot moja ikageuka shot mbili, kidogo kidogo shot ya tatu ikafuata… ikabidi mraiya tumedoz juu ya kuchoka…

Kitu 4 apo kamvua kakaanza ikabidi tumerudi kujiekelea hadi ipunguke.. mahns the devil is a liar, tulishtuliwa na kelele ya nduthi nje..Ilikuwa 5:30 tayari na mamake alikuwa amefika, acha tuvae nguo speedy speedy.. yengs akanisho nijisunde chini ya bed kwanza. Boys nikatii nikaingia hataka upesi chini ya bed, alafu simiti ilikuwa baridi juu kulikuwa kumenuesha bana

Hapo chini ya bed ilikuwa kupiga timing, nikaweka phone silent coz nyang’au inaeza call ujipate unakatwa rasa na majirani juu bana..Mamake akingia akaekelea shopping chini akaamua kuekelea chai.. mi nlikuwa naona tu miguu zao. Saa hiyo si breath hata juu naeza sneeze bana

After what seemed like forever ya hao kuvura chai moto wakipeana fake news za kijiji, mamake akaekelea mboga za supper…Hiyo time yote ni mamake alikuwa anafanya kila kitu, yengs ni mushene tu na alikuwa anafanya Diploma in food & beverage… nkt!

Saa moja ikafika bana nkajua niko in deep shit coz kwetu ni mbali, mamangu akaanza kuni call, juu phone ilikuwa silent ilikuwa inawaka tu…                                                        Boy child nilikuwa na 7 missed call za mathe, hawa nao ndo walikuwa wanaekelea ugali sasa na bado wako hapo jikoni…

Chini ya bed nilikuwa na rotate pole pole ka earth kwa orbit niki shift position ya kulala juu ya kuchoka bana. 7:30 wakaanza kukula supper.Hiyo siku ndo nilijua madem hukula sana ni game tu wanakuanga wameficha, walimaliza kula ugali wakasema wakunywe maziwa mala sasa…

Boys nilikuwa nameza tu mate apo chini coz njaa nayo ilikuwa majority. 8:00 wakaamua kuenda ku watch soap sasa ndo mraiya nika breath…But yengs alikabi kiasi aka sneak ugali na mboga uko chini ya bed then akani text “Beb am sorry”… sasa ndo nilikula nare kabisa…

Umewai kula ka umelalia tumbo kwa sakafu? My fren hizi ikus zitakuja kutuua siku moja… nilikula na wasi wasi bana…Kitu 9 apo mgeni flani huwa anachinjia mama ghels akakuja, ghels akakuja kunisho nivumilie tu kiasi hadi waende kulala… boys chini ya bed Mamake yengs na huyo buda wakajitoa 10:30 kuenda ku doz, yengs ikabidi akuwe sure wamedoz ndo nichomoke ku doz kitu 11:00 apo bana…

Mraiya nikatoka apo chini ya bed niko paralysed side moja ya mwili, damu imeganda hadi sikuwa najitambua..Yengs akanisho kitu 4:00 ataniamsha nirudi chini ya bed coz mamake ataamka mapema kesho yake coz ye ni teacher on duty..

Mtoto wa mtu nililala 50/50, saa kumi nikarudi position bana… kumbe hiyo siku ilikuwa holiday ya good friday bana 😂

😂😂😂😂😂

PART TWO HERE…………………..

 

Advertisements


Categories: NEWS AND ENTERTAINMENT

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

%d bloggers like this: